Kenya Yatamba London !

Kenya Yatamba London !

Wanariadha wa Kenya walionesha weledi wao katika mbio za London marathon huku Mkenya Eliud Kipchoge akiwaongoza wenzake, Wilson Kipsang na Dennis Kimetto kunyakua nafasi tatu za kwanza. Kipchoge alikuwa kileleni katika mbio hizo kuanzia mwanzo hadi mwisho huku akiwapiku wenzake na kuandikisha muda wa saa 2 dakika 4 na sekunde 42.Mwanaspoti wetu Bernard Ndong ana maelezo zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories