Kenyatta, Odinga wakaa kwenye jukwaa moja Kiambu

Kwa mara ya kwanza tangu mahakama ya upeo itoe uamuzi wa marudio ya uchaguzi wa urais, Rais Uhuru Kenyatta na kinara wa NASA Raila Odinga walikutana katika mazishi ya aliyekuwa meya wa Nairobi Samuel Mbugua Kihara.

Tags:

Uhuru kenyatta raila odinga kiambu Samuel Mbugua Kihara

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories