Kesi mbili zawasilishwa katika mahakama ya juu

Tume ya uchaguzi IEBC inatarajiwa kuwasiliha stakabadhi muhimu zilizotumika katika marudio ya uchaguzi wa urais katika mahakama ya juu hapo kesho. Hii ni baada ya kesi mbili zinazopinga matokeo ya uchaguzi huo kuwasilishwa mahakamani.

Tags:

supreme court PRESIDENTIAL PETITION

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories