Kichinjio cha punda chashurutishwa kufunga sehemu ya kutupa taka
Published on: November 10, 2017 08:32 (EAT)
Halmashauri ya mazingira nchini NEMA imetoa Ilani ya siku 21 kwa kichinjio cha Goldox kilichoko kaunti ya Baringo kufunga sehemu wanazotumia kumwaga taka, la sivyo watalazimika kukifunga kichinjio hicho. Kichinjio hicho kinachojihusisha na nyama ya punda kimedaiwa kutengeneza jaa la taka kinyume cha sheria karibu na makaazi ya wenyeji wa Baringo.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment