Kihanya akanusha kuhusika na ufisadi kwenye wizara ya Afya

Binamuye Rais Uhuru Kenyatta, Kathleen Kenyatta amekanusha kuhusika na kashfa ya ufujaji wa shilingi bilioni tano katika wizara ya afya na kusema kuwa kampuni yake, Sundales International ilifanya biashara halali na wizara hiyo na kupokea kihalali shilingi elfu arobaini baada ya kushinda zabuni ya vyakula.

Tags:

wizara ya afya kathleen kihanya

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories