Kiini Macho Kituoni?

 Waendeshaji magari walilazimika kukaa usiku mzima kwenye kituo cha kujaza mafuta cha Astrol eneo la Kitengela baada ya magari yao kujazwa maji badala ya mafuta. Waendeshaji magari hao walisema kuwa magari yao yalikwama kilomita chache kutoka kwenye kituo hicho cha kujaza mafuta cha Astrol. Na kama anavyotuarifu Pheona Kengah meneja wa kituo hicho Gathoni Kabugi aliwalaumu wauzaji mafuta wa kituo cha konza ambapo mafuta hayo yalinunuliwa kwa mchanganyiko huo wa maji na petroli.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories