Kijana afungwa miaka 100 jela kwa kuwanajisi wasichana watatu

Mahakama ya Embu hii leo imefunga kijana mmoja mwenye umri wa miaka 20 kifungu cha miaka 100 jela baada ya kukiri kuwanajisi wasichana watatu wenye umri wa miaka 13 na 10 katika kanisa moja mwaka wa 2015.

Tags:

ubakaji miaka 100 jela

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories