Kijana amuua mpenziwe chuoni na pia kujiuwa

Hali ya simanzi ilitanda hii leo katika chuo kikuu cha Kisii kufuatia kifo cha mmoja wa wanafunzi wa chuo hicho. Mwanafunzi huyo wa kike wa mwaka wa tatu anasemekana kuuawa kwa kunyongwa na mpenziwe baada ya tofauti za kimapenzi. Mwanamume mwenye kutekeleza kitendo hicho alijitia kitanzi muda mfupi baadaye an kuacha barua iliyoelezea kisa na sababu cha matendo yake.

Tags:

Kisii University

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories