Kijana anayeshukiwa na polisi kuwa Al Shabaab ajisalimisha Huruma

Visa vipya vya kipindupindu vimeibuka humu jijini na kulazwa katika hospitali kuu ya Kenyatta. Tayari vituo vinne vya wagonjwa vimewekwa huruma, mathare na Mama Lucy.
Vile vile jamaa mmoja kwa jina salad tari ajiwasilisha katika kituo cha polisi baada ya jina lake kutajwa kwa watu wanaotafutwa zaidi.

Tags:

Al Shabaab cholera Huruma kipindupindu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories