Kikosi cha NASA chaomba kura Tharaka Nithi

Viongozi wa muungano wa NASA walikita kambi katika kaunti ya Tharaka Nithi ambapo waliwarai wananchi kuwabwaga Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto na badala yake kuwaunga wao mkono. Wakiongozwa na mgombea urais Raila Odinga, viongozi hao walisema kuwa Jubilee imewahadaa wananchi kwa miaka minne na hakuna maendeleo yoyote ambayo wamewafanyia wana Tharaka Nithi.

Tags:

raila odinga meru kalonzo musyoka NASA Moses Wetangula Musalia Mudavadi Tharaka Nithi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories