Kilio Cha Ajuza!

Kilio Cha Ajuza!

Mtazamaji kwa kila mwanadamu ni kwamba pindi uzee utakapoingia wengi hutaka kupumzika kwa amani,lakini katika kisa hiki ni kwamba nyanya mmoja mwenye umri wa miaka 100 amefungwa katika gereza la Embu kwa madai ya kutoitikia mwito wa mahakama hiyo.

 

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories