Kunyang’anywa walinzi

Serikali kuu imekana madai kwamba kuondolewa kwa walinzi wa gavana wa Mombasa Hasssan John na mwenzake wa kilifi amason kingi kumechochewa kisiasa.

Msemaji wa ikulu Manoah Esipisu anasema kuwa hii ni mojawapo ya mpango wa kawaida wa polisi unaofanywa mara kwa mara na vikosi vya usalama humu nchini. Lakini anavyotuarifu mwanahabari wetu Denis Otieno, hatua hii imezusha tetesi kali kutoka kwa upande wa upinzani huku wajumbe wa Jubilee wakitaka joho aombe msamaha.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories