Kutana na Sharon, mkulima tajika wa Yatta – Machakos
Published on: October 21, 2017 08:17 (EAT)
Bidii ya mchwa humfikisha mbali, msemo huu unadhihirishwa wazi na Mama Sharon Mule mkazi wa Yatta kaunti ya Machakos, aliyekuwa hana kazi lakini sasa ni mkulima hodari. Alipata kibarua kwenye mradi wa idara ya huduma kwa vijana wa taifa NYS na kuweka akiba ya pesa alizopokea kila wiki.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment