Laana Ya Wazazi Kwa Watoto Walemavu

Kwa muda mrefu sasa kundi la watoto walemavu 40 wamekuwa wakitengwa na familia zao katika Kaunti ya Marsabit na kutelekezwa katika nyumba ya watoto ya Fatima.  Idadi ya watoto hao imekuwa ikiongezeka kila uchao huku usimamizi wa nyumba hiyo ikikumbwa na changamoto za kuwapa huduma kama inavyostahili. Na kama anavyotuarifu mwanahabari wetu Pheona Kengah watoto hao ambao wamechukuliwa kuwa laana katika jamii wamebaki chini ya ulezi wa kanisa katoliki dayosisi ya marsabit.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories