Maafikiano kuhusu malipo ya makamishna wa IEBC yapamba moto
Published on: September 27, 2016 11:13 (EAT)
Maafikiano kuhusu malipo ya makamishna wa Tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC yameshika kasi. Na kama anavyotufahamisha ripota wetu Simon kigamba, Kamati maalum ya serikali inayohusisha Idara ya utumishi wa umma na washikadau wengine, iliandaa kikao mapema leo na kuafikiana kuwaita makamisha wa IEBC kesho katika kikao kingine ili kutathmini malipo hayo.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment