Maafisa wa polisi washtakiwa kwa kula mlungula

Mwenyekiti wa tume ya kitaifa ya polisi Johnstone Kavuludi hii leo amefichua kuwa maafisa wa ngazi za juu wa polisi hupokea kiasi kikubwa cha pesa kutoka kwa wadogo wao kupitia njia za M-pesa miongoni mwa mbinu nyingine. Na huku hayo yakijiri maafisa sita wa polisi wa trafiki leo asubuhi walifikishwa katika mahakama ya kupambana na ufisadi hapa jijini Nairobi na kushtakiwa kwa kujaribu kupokea hongo.

Tags:

Polisi Johnstone Kavuludi ufisadi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories