Maafisa wa usalama waanzisha oparesheni dhidi ya Probox

Inspekta Jenerali wa polisi ameamuru kukamatwa kwa magari yote aina ya probox yanayohudumu kama matatu bila kuzingatia sheria.

Hatua ya mkuu huyu wa polisi inafuatia malalamishi kadha wa kadha kutoka kwa wananchi haswa katika maeneo ya mashambani wanaorundikwa kwenye magari haya wakati mwingine abiria kumi na saba kwa mpigo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories