Maafisa wa usalama wanusuru watoto 95 eneo la Likoni

Maafisa katika kitengo cha kupambana na ulanguzi wa binadamu pamoja na maafisa katika kitengo cha kulinda maslahi ya watoto hii leo wamewaokoa watoto takribani 95 kutoka kwa madrasa mmoja huko Likoni kaunti ya Mombasa. Inasemekana kuwa kumekuwa na tetesi kwamba madrassa hiyo imekuwa ikihusika katika madai ya dhulma kwa watoto pamoja na ulanguzi wa watoto.

Tags:

Likoni child rescue Likoni madrassa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories