Maandamano ya NASA yasitishwa hadi Ijumaa

Ni afueni kuu kwa wafanyibiashara wanaoendesha kazi zao katikati ya miji mikubwa baada ya muungano wa NASA kutangaza kuwa umesitisha maandamano yao kwa siku mbili hadi baada ya siku ya Mashujaa. Huku hayo yakijiri, mahakama imeondoa marufuku iliyokuwa imewekwa ya kuwazuia waandamanaji hao kuandamana katikati ya jiji.

Tags:

raila odinga NASA SIAYA Bondo Anti-IEBC demos

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories