Maandamano yafanyika Busia kulaani mashambulizi ya walinzi

Bawabu mmoja amefariki huku wengine wanne wakisalia na majereha mabaya baada ya watu wasiojulikana kuwavamia jana usiku nje ya maduka katika mji wa malaba. Mapema taharuki ilitanda katika mji huo baada ya wenyeji kufanya maandamano kufuatia tukio hilo na kulaumu maafisa wa usalama kwa kukosa kukabiliana na visa vya uhalifu ambavyo vimekuwa vikishuhudia hivi karibuni

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories