Mabaki ya ndege iliyoanguka ziwani Nakuru yapatikana

Mabaki ya ndege iliyoanguka wiki nne zilizopita katika ziwa la Nakuru yamepatikana. Inakisiwa kuwa miili mitatu ya waliokuwa bado hawajaonekana yaweza kuwa imenaswa ndani ya mabaki hayo.

Tags:

Lake nakuru chopper crash john mapozi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories