Madaktari bado hawajarejea kazini

Serikali inaahidi madaktari watakaorejea kazini kufikia siku ya Jumatatu nyongeza ya mishahara ya asilimia 40 na marupurupu yaliyokuwa yameafikiwa katika mazungumzo yaliyotibuka. Haya ni licha ya vitisho kwa madaktari kuwa watafutwa kazi na kadhalika matukio yanayokisiwa kuwa ya kuwashurutisha ambapo baadhi ya madaktari wanadai kupigiwa simu na maafisa wakuu wa polisi katika baadhi ya kaunti na kuagizw akurejea kazini mara moja. Na kama anavyotupasha faiza magannga, wagojwa wanazidi kuumia hali hii ya vuta nikuvute ikiendelea.

Tags:

Mgomo wa madakatari

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories