Madaktari waipa serikali siku 16 iwalipe na wasaini mkataba mpya

Muungano wa madaktari nchini KMPDU umeipatia serikali makataa ya siku 16 iwalipe madaktari mishahara yao pamoja na kutia saini mkataba wa makubaliano CBA. Wakiongea katika kikao na waandishi wa habari hapa jijini Nairobi, viongozi wa muungano huo pia wameitaka serikali kuwaajiri madaktari 1,400 ambao hawana ajira.

Tags:

CBA NIPASHE KMPDU Madaktari

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories