Madereva walevi 58 wakamatwa Meru
Published on: October 01, 2017 09:00 (EAT)
Audio By Vocalize
Maafisa wa mamlaka ya uchukuzi na usalama barabarani (NTSA) wamewakamata madereva 52 kwenye operesheni dhidi ya madevera walevi katika kaunti za Meru na Nairobi.


Leave a Comment