Maelfu watuma maombi ya kazi ya ukatibu kwenye wizara

Tume inayowaajiri maafisa wa umma PSC inatarajiwa kuanza kuchuja orodha ya wakenya zaidi ya elefu mbili waliioomba nafasi za ukatibu katika wizara za serikali kuanzia Jumatatu wiki ijayo. Mweyekiti wa tume hiyo Profesa Margaret Kobia anasema mchakato huo utatoa orodha ya watu 250 ambao watasailiwa kabla ya majina yao kuwasilishwa kwa rais Uhuru Kenyatta anapobuni serikali mpya.

Tags:

Cabinet PSC Margaret Kobia

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories