Magavana wa Mlima Kenya waungana kwa nia ya kujenga reli
Published on: November 03, 2017 08:35 (EAT)
Kaunti tano za eneo la mlima Kenya ziko katika harakati za kuchangisha shilingi bilioni 25 ili kufufua na kupanua reli ambayo itatoka Isiolo hadi jijini Nairobi.
Kaunti hizo zinapanga kuanza mpango huo kwa kuchangisha shilingi milioni 100 kila kaunti matumaini yakiwa kuleta faida maradufu kwa wenyeji wa kaunti hizo.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment