Magavana wapya 15 waanza rasmi kazi
Published on: August 21, 2017 08:02 (EAT)
Ahadi kochokocho zimetolewa na magavana 15 walioptishwa leo kuchukua nafasi ya wale waliobwagwa uchaguzini. Mike Mbuvi Sonko, gavana mpya wa Nairobi na Charity Ngilu, gavana wa Kitui, na wa kwanza wa kike kuapishwa, ni miongozi mwa magavana hao ambao wanaahidi umoja na mabadiliko katika kaunti zao.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment