Magavana wasema wauguzi wanaogoma hawatalipwa

Baraza la magavana limewataka wauguzi wanaogoma kurudi kazini haraka iwezekanavyo au watapigwa kalamu kwani mgomo huo si halali na kwamba pesa wanazoitisha hazipo kwa sasa.

Tags:

Council of Governors Nurses strike mgomo wa wauguzi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories