Magavana,Maseneta, Wabunge Wakongamana Kwale

Viongozi kutoka kaunti sita za pwani wamekubaliana kubuni jopo la pamoja  litakaloangazia mahitaji  ya kijamii, uchumi na siasa katika  eneo hilo.haya yameafikiwa katika mkutano  ulioandaliwa kaunti ya Kwale, huku suala la ushirikiano wa kisiasa likionekana kuwagawanya kwa maoni, baadhi yao wakieleza umuhimu wa wapwani kuunda chama cha kisiasa.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories