Mahakama kuu yampa fidia ya milioni 4 msichana ambaye picha zake akiwa uchi zilisambazwa na polisi mtandaoni

Mahakama ya Juu imeamuru mwanafunzi mmoja wa kike apewe fidia ya shilingi millioni nne, kwa aibu aliyopta mikononi mwa polisi miaka miwili iliyopita. Msichana huyo inadiwa kuwa alishikwa visvyo na picha zake akiwa uchi kusambazwa kwee mitandao ya kijamii na polisi. Denis Otieno ana maelezo zaidi. 

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories