Mahakama: Mchujo wa Wiper Machakos urudiwe

Mwenyekiti wa chama cha ODM JOHN MBADI na Wavinya Ndeti wamepata pigo baada ya jopo la kutatua mizozo ya kisiasa kubatilisha uteuzi wao. Sasa uteuzi wa mgombea wa ugavana mkatika kaunti ya Machakos utafanyika hapo kesho na ule na marudio ya kupiga kura katika vituo saba katika eneo la suba kaskazini kufanyika Jumatatu.

Tags:

WIPER John Mbadi Wavinya Ndeti machakos suba Caroli omondi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories