Mahakama ya juu yapiga breki mpango wa kuajiri madaktari kutoka Tanzania

Wizara ya afya na baraza la magavana wamepata pigo baada ya mahakama ya juu kuamuru kusitishwa kwa mipango ya kuajiri madaktari kutoka nchi za nje.

Tags:

wizara ya afya mgomo wa madaktari Madaktari kutoka tanzania

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories