Maina Kamanda ajiuzulu kutoka siasa

Jopo ya malalamishi ya vyama vya kisiasa imeamuru chama cha Jubilee kutotangaza matokeo wala kurejelea hisabu za kura za wadhifa wa ugavana katika uchaguzi wa mchujo kaunti ya Laikipia.
Uamuzi huo unajiri baada ya gavana wa kaunti hiyo joshua irungu kuwasilisha kesi mahakamani akitaka uamuzi wa bodi ya uchaguzi ya jubilee iliyomtangaza mpinzani wake Nderitu Mureithi kama mshindi kufutiliwa mbali.
Haya yanajiri huku simon mbugua akisitisha azma yake ya kuwania ubunge wa kamukunji na kumwachia Yussuf Hassan tiketi ya chama cha Jubilee.

Tags:

Jubilee Party Jaguar Maina Kamanda Simon Mbugua YUSUF HASSAN

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories