Maisha ya zaidi ya wakazi elfu 20 yamo hatarini kufuatia ukame

Maisha ya wakazi zaidi ya elfu ishirini yamo hatarini kwa sababu ya ukame unaoshuhudiwa katika kaunti ya Tana River. Kijana wa miaka ishirini amefariki katika harakazi za kutafuta maji kwenye kisima ambacho maji yake yanaelekea kukauka katika kijiji cha Iddi Kaunti hiyo. Na kama anavyoeleza Simon Kigamba hali hiyo inazidi kudorora kila uchao.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories