Majaji wa mahakama ya kilele wanatarajiwa kutoa uamuzi Jumatatu

Majaji wa mahakama ya juu wamekamilisha vikao vya kusikiliza kesi mbili za uchaguzi wa rais wa oktoba 26 na sasa watakwenda katika kikao cha faragha kuandika uamuzi watakaoutoa siku ya Jumatatu.

Tags:

supreme court david maraga PRESIDENTIAL PETITION

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories