Majambazi wavamia na kuteketeza mgahawa wa utalii Laikipia
Published on: March 30, 2017 08:31 (EAT)
Audio By Vocalize
Washukiwa wa ujambazi waliteketeza majumba ya watalii katika hifadhi ya Laikipia Nature Conservancy katika kile kimetajwa kuwa shambulizi la kulipiza kisasi.
Haya yanajiri baada ya madai kuwa maafisa wa usalama wanaoendeleza oparesheni katika eneo hilo walikabili majambazi katka vita vikali vya risasi vilivyopelekea vifo vya mamia ya mifugo.
Na kama anavyoarifu hassan mugambi, wanahabari wa stesheni ya inooro walikamatwa na kuzuiliwa kwa takriban saa sita.


Leave a Comment