Majeruhi wengi wa ajali ya Migaa wanatibiwa hospitalini Nakuru

Familia za waliofariki katika ajali ya eneo la Migaa usiku wa kuamkia leo wanaomboleza vifo vya wapendwa wao. Mojawapo ya familia hizo imewapoteza watu wanne.

Tags:

Migaa Nakuru gneral hospital

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories