Makao ya Ruto yavamiwa
Published on: July 29, 2017 08:24 (EAT)
Audio By Vocalize
Maafisa wa kikosi cha GSU wamewauwa washambuliaji watatu waliovamia makazi ya naibu wa rais William Ruto huko Sugoi kaunti ya Uasin Gishu. Afisa mmoja wa GSU amejeruhiwa kwenye makabiliano hayo. Polisi wamezingira makazi hayo kuhakikisha kuwa genge hilo limekabiliwa vilivyo.


Leave a Comment