Makatibu wakuu 12 wahamishwa
Published on: March 31, 2017 08:08 (EAT)
Aliyekuwa katibu katika wizara ya afya Nicholas Muraguri amehamishiwa katika wizara ya ardhi. Muraguri ni miongoni mwa makatibu wengine 11 waliohamishwa kutoka wizara na idara walizokuwa wakihudumu.
Comments
No comments yet.
Leave a Comment