Makazi mabovu ya polisi kituoni Sagana

Hali ya vyumba wanavyoishi maafisa wa polisi katika kituo cha polisi cha Sagana ni ya kusikitisha.

Vyumba vya matope na ambavyo vinaelekea kuporomoka,juhudi za kupata msaada zikiwa zimegonga mwamba.

Hali hii imeathiri utendakazi wa maafisa hawa kama anavyoarifu Macharia Gachuru.

Tags:

Sagana Police Station

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories