Makubaliano ya NASA

Muungano wa upinzani-nasa umeafikiana kuhusu mbinu na mikakati ya kumteua mgombea urais wake na mpangilio wa uongozi utakaotumika katika kinyang’anyiro cha mwezi agosti.

Duru zimeiarifu Citizen Nipashe kuwa nasa itamzindua mgombea urais wake tarehe nne mwezi ujao, atakayeafikiwa kwa njia ya muafaka.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories