Malipo ya M-pesa yatakubalika mahakamani
Published on: January 26, 2017 09:18 (EAT)
Kwa muda wa miezi miwili ijayo huenda ukaweza kulipa ada na faini za mahakama kupitia mifumo ya simu kama vile mpesa na airtel money.
Jaji mkuu david maraga ameagiza mfumo huo kuanzishwa kuanzia machi mwaka huu.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment