Mama azaa watoto wanne huko Kisii

Furaha na majonzi baada ya mwanamke mmoja kujifungua watoto wanne katika hospitali ya rufaa ya Kisii. Haya yanajiri huku mwanamke mwingine akijifungua mtoto akiwa na uvimbi kichwani katika kaunti jirani ya  Migori

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories