Mama na wanawe wawili wapatikana wameuawa Kabete, Kiambu

Wenyeji wa kijiji cha Muthure kilichoko mtaani Kabete kaunti ya Kiambu wanaomboleza kifo cha mama moja na wanawe wawili waliouwawa katika hali tatanishi. Miili ya watatu hao ilipatikana hii leo ikiwa na majereha ya kichwa huku baba wa nyumba hiyo asijulikane aliko.
Majirani wanasema kuwa watatu hao walionekana kwa mara ya mwisho siku ya Jumamosi.

Tags:

kiambu Kabete Muthure

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories