Mamia wajitokeza kwenye afisi za Kenya Power wakilalamikia bili
Published on: January 11, 2018 08:11 (EAT)
Wakili Apollo Mboya na chama cha wateja wa stima, wamewasilisha kesi Mahakamani kushinikiza kampuni ya Kenya Power na tume ya kudhibiti sekta ya kawi ERC, kusitisha matumizi ya bili za stima zinazoonekana kuwa za juu mno. Haya yanajiri huku kampuni ya Kenya Power ikiwaalika wateja kuwasilisha malalamishi yoyote katika vituo vyake vya huduma humu nchini.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment