Mamia ya abiria watatizika katika vituo vya magari ya usafiri
Published on: January 04, 2018 08:15 (EAT)
Haya yanajiri huku muungano wa wamiliki wa matatu ukiomba wizara ya uchukuzi kuongeza muda wa usafiri hadi saa sita usiku mbali na saa kumi na mbili kama ilivyo sasa.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment