Maraga amtetea Jaji Odunga dhidi ya shutuma za Jubilee

Jaji mkuu David Maraga amepuuzilia mbali ombi la chama cha Jubilee kumzuia Jaji George Odunga kutoka kusikiza kesi zote zinazohusiana na masuala ya uchaguzi. Jaji mkuu amesema kuwa idara ya mahakama ni huru na haitakubali kuelekezwa na yeyote. Maraga amesema kuwa mahakama haitakubali kutishwa na wanasiasa.

Tags:

raila odinga JUBILEE NASA david maraga George Odunga

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories