Maraga atetea mahakama

Jaji mkuu David Maraga na tume ya huduma za mahakama (JSC) wamekashifu vitisho vinavyoelekezewa majaji na wahudumu wengine wa mahakama kutokana na maamuzi waliyofanya. Maraga aliyeonekana kughadhabishwa na matukio ya hivi punde, amedai serikali kuu ikishiriana na bunge, imechukua mkondo wa kuwadhulumu majaji kwa kuwatishia na kuwachafulia majina, ili kuwashusha hadhi. Na kama anavyotuarifu Francis Gachuri, maraga anasema majaji wako radhi kupoteza maisha yao, baadala ya kukubali kushurutishwa kutoa maamuzi ya kupendelea.

Tags:

supreme court david maraga

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories