Marufuku dhidi ya mifuko ya plastiki kuanza kutekelezwa Agosti

Wafanyabiashara wadogo wadogo wameelezea wasiwasi wao kuhusu mpango wa kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki ifikapo mwezi Agosti mwaka huu. Wafanyibiashara hao wanalamika kuwa sheria ya kupiga marufuku matumizi ya karatasi hizo  itawakadamiza kibiashara kwa sababu hufunga bidhaa nyingi kwa kutumia karatasi hizo.

Tags:

plastic bags plastic

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories