Masaibu ya familia ya mama aliyejifungua watoto wanne

Katika mwaka wa 2014, Runinga ya Citizen ilikuletea taarifa kuhusu mama Esther Lusweti aliyebahatika kujifungua mapacha wanne kwa mpigo katika kijiji cha Mungachi kaunti ya Bungoma, lakini miaka minne baadaye, maisha ya familia hiyo yamesalia tu kuwa ya dhiki. Esther alikuwa na watoto wengine wawili kabla ya kujifungua hao wane. Mwanahabari wetu Hassan Farah anaarifu zaidi.

Tags:

bungoma Esther Lusweti mama kujifungua watoto wanne

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories